JESHI LA POLISI LAWAONYA WANAOTOA WANAOVAA MAVAZI YANAYOFANANA NA JESHI.

 Jeshi la Polisi Tanzania limewataka Watu wote wenye tabia ya kuvaa mavazi yanayofanana na sare za Majeshi ya Ulinzi na Usalama kinyume na sheria za Nchi, kuacha tabia hiyo mara moja kwani halitosita kuwakamata na kuwafikisha Mahakamani.

Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime amesema “Katika siku za karibuni kumeibuka makundi ya Watu, kampuni binafsi za ulinzi na baadhi ya Walinzi wa Viongozi wakivaa mavazi yanayofanana na sare za Majeshi ya Ulinzi na Usalama”



Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.