DKT. MWASSE AWEKA WAZI MAGEUZI YALIYOIPA STAMICO NGUVU MPYA Dar es salaam. Shirika Madini la Taifa (STAMICO) limeongeza mapato yake ya ndani kutoka Sh bilioni 1.3 hadi Sh bilioni 147.8 katika mwaka wa... Almasi Media - Oktoba 16, 2026
MAWAZIRI MOESNA WAPONGEZA MABORESHO BANDARI DAR Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Mawaziri na makatibu wakuu kutoka nchi za Afrika Mashariki, Kaskazini na Kusini (MOESNA) wameipongeza Mam... Almasi Media - Oktoba 16, 2026
MHE. NDEJEMBI ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA KITUO CHA UMEME IGANJO, MBEYA MBEYA. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Kupokea... Almasi Media - Oktoba 16, 2026
TAASISI ZASISITIZWA KUHAMIA KATIKA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA Morogoro. Serikali imeendelea kuhamasisha taasisi mbalimbali nchini, zikiwemo shule, hospitali na taasisi nyingine zinazopika chakula kwa id... Almasi Media - Oktoba 16, 2026
TANZANIA YAJIPAMBANUA KIMATAIFA KATIKA UIMARISHAJI MIFUMO YA USIMAMIZI WA MAAFA Na. Mwandishi Wetu - Maputo, Msumbiji TANZANIA imejipambanua Kimataifa katika kuimarisha mifumo ya usimamizi wa maafa kwa kuwekeza katika mi... Almasi Media - Oktoba 16, 2026
TANZANIA YASISITIZA USHIRIKIANO NA URUSI KUONGEZA THAMANI MADINI Saint Petersburg, Urusi Tanzania imesisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano na Jamhuri ya Urusi katika Sekta ya Madini kwa kuwekeza katik... Almasi Media - Oktoba 15, 2026
SERIKALI MBIONI KUKAMILISHA BODI YA WAJIOLOJIA NCHINI Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Madini ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha mchakato wa kisheria utakaowezesha kuundwa kwa Bodi ya Us... Almasi Media - Oktoba 15, 2026
TANZANIA YANG’ARA ALGERIA, YAFUNGUA MILANGO YA UWEKEZAJI SEKTA YA UJENZI Algeria. Tanzania imeng'ara nchini Algeria kufuatia kupewa hadhi ya kuwa mgeni wa heshima katika maonesho ya kimataifa ya ujenzi, makaa... Almasi Media - Oktoba 15, 2026
JESCA KITAMBAA CHEUPE AUNGANISHAJI BURUDANI NA FURSA ZA VIJANA CHIMBO LA VIJANA BRANCH 2026 DAR ES SALAAM. Mfanyabiashara na mjasiriamali maarufu jijini Dar es Salaam, Jessica Boniface Kikumbi, maarufu kama Jesca Kitambaa Cheupe, a... Almasi Media - Oktoba 15, 2026
TARURA YACHUKUA HATUA KUKABILIANA NA MVUA ZA EL NINO, WANANCHI WATAKIWA KULINDA MIUNDOMBINU Dodoma. Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeanza kuchukua hatua za kujiandaa kukabiliana na athari zinazoweza kusababis... Almasi Media - Oktoba 15, 2026