MECHI YA UFUNGUZI WA MICHUANO YA AFRICAN FOOTBALL LEAGUE KUCHEZWA TANZANIA.

 

Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) Limesema michuano ya African Football League mechi yake ya ufunguzi itafanyika Nchini Tanzania.

Ambapo inatarajiwa kuanza Oktoba 20 mwaka huu.

Aidha michuano hiyo imebadilishwa jina kutoka African Super League na kuwa African Football League.

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.