DAR CITY YAING’ARISHA TANZANIA MASHINDANO YA KIKAPU AFRIKA MASHARIKI.

Published from Blogger Prime Android AppPublished from Blogger Prime Android AppPublished from Blogger Prime Android App

Hatimaye michuano ya East Africa Basketball Champions Cup 2024 Zone five ambayo ilikuwa ikifanyika Nairobi Kenya imekamilika na kupelekea t onimu ya kikapu kutokea Tanzania ya Dar City kufuzu kucheza ligi ya kanda za Africa kwa kucheza na zones (Kanda) nyingine baada ya kuibuka washindi wa Pili wa michuano hiyo kwa kushinda Game nne kati ya tano huku timu kutoka Burundi ikishika nafasi ya kwanza na kenya nafasi ya tatu..

Katika Mashindano hayo yaliyomalizika jana katika Uwanja Nyayo Stadium Nairobi, Tanzania ilikuwa ikiwakilishwa na timu mbili ambapo moja ni ABC na nyingine ni Dar City kutoka Mataifa kama Burundi na Kenya zikiwakilishwa na KPA, Eauity na Hippos.

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.