AGNESTA KAIZA KUTOKA CHADEMA AHAMIA CHAUMA RASMI: ASEMA NI KWA AJILI YA MAENDELEO YA TAIFA

 


DAR ES SALAAM.

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha CHADEMA, Agnesta Kaiza, leo Juni 29 ametangaza rasmi kujiunga na Chama cha CHAUMA.


Agnesta amesema uamuzi wake wa kuhamia CHAUMA unalenga kuhakikisha taifa linasonga mbele na Watanzania wanapata mabadiliko wanayoyahitaji.


Katika hafla hiyo ya leo, Agnesta Kaiza amekabidhiwa rasmi kadi ya uanachama wa CHAUMA, na hivyo kuanza rasmi maisha yake ya kisiasa ndani ya chama hicho.


#chauma

#agnestakaiza

#mabadiliko

#taifalinasongambele

#habarizaafrika

#siasa2025


Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.