OCEAN ROAD YANUFAIKA NA MCHANGO WA NBC MARATHON DODOMA 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk. Diwani Msemo, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupokea hundi yenye thamani ya shilingi milioni 100, ambayo imetolewa kama sehemu ya msaada kwa ajili ya kuboresha huduma za saratani nchini. Taasisi hiyo ni miongoni mwa wanufaika wa mbio za NBC Marathon Dodoma 2025, ambazo zinalenga kuchangia maendeleo ya sekta ya afya na kuunga mkono jitihada za serikali katika mapambano dhidi ya magonjwa ya saratani

.


Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.