RAMATU TATIZO SHEYA ACHUKUA FOMU YA KUWANIA UDIWANI VITI MAALUMU MWANANYAMALA


DAR ES SALAAM

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mjumbe wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kinondoni kwenda Mkutano Mkuu, Ramatu Tatizo Sheya, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake ili kuwania nafasi ya Udiwani wa Viti Maalumu katika Kata ya Mwananyamala, Wilaya ya Kinondoni.


Hatua hiyo ni sehemu ya kuendelea kuchangia maendeleo ya wanawake na jamii kwa ujumla kupitia nafasi za uongozi ndani ya chama na serikali.


#ccm

#vitimealumu

#ramatusheya

#udiwani2025

#mwananyamala

#kinondoninews

#siasa

#tanzaniadecides2025

#uchaguzi2025


Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.