SERIKALI YA AWAMU YA SITA YAFANYA MAKUBWA: UJENZI WA SGR MWANZA–ISAKA WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 63.16


Ujenzi wa SGR kipande cha Mwanza – Isaka (Awamu ya 2)

Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, kipande cha SGR Mwanza – Isaka chenye urefu wa kilometa 341 kimekamilika kwa asilimia 63.16. Kikikamilika, kitatumia shilingi Trilioni 3.0617 sawa na dola za Kimarekani bilioni 1.24. Mpaka mwisho, kitaajiri zaidi ya watu 2,000 na kinatarajiwa kukamilika ndani ya mwaka mmoja kulingana na ratiba ya awamu ya pili.


Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.