Dar es Salaam
Waziri Mkuu Mstaafu, Kassim Majaliwa, akiwasili katika tukio maalum la Iftar lililofanyika leo Machi 10, 2025 jijini Dar es Salaam katika Hoteli ya Serena.
Tukio hilo la Iftar limewakutanisha viongozi mbalimbali wa Serikali, viongozi wa dini, wadau kutoka sekta binafsi pamoja na wageni wengine mashuhuri waliokusanyika kwa ajili ya kushiriki futari na kuimarisha mshikamano na upendo katika kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Tukio hilo limeandaliwa nae Mshauri wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa.




Hakuna maoni: