MNEC NDELE MWASELELA, AWASILI WILAYA YA RUNGWE KWA ZIARA YA KAZI

Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Ndugu Ndele Mwaselela mapema Leo tarehe 27/06/2026 amewasili na kupokelewa na Gwalide la Heshima kutoka kwa Vijana wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wakiongozwa na Viongozi wa kamati ya Siasa katika Wilaya ya Rungwe kwaajili ya Ziara ya kikazi katika Wilaya Hiyo.


#Kazi na Utu, Tunasonga Mbele

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.