TARURA YATAKA USIMAMIZI SHIRIKISHI MPANGO WA CBRM
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania na mchezaji wa zamani wa ligi ya NBA ambaye pia amechezea team ya @darcitybasktball Hasheem Thabeet amealikwa kuwa mgeni Rasmi nchi Dubai kwenye event ya Mix Rim inayofanyika leo Al Wasl Sports Club ikiwa ni muendelezo wa ushirikiano uliopo Kati ya Tanzania na UAE kwenye basketball.
Event hiyo itahusisha games nne tofauti za basketball, One on one, Dunk nk na itahudhurowa na uongozi wa basketball UAE wakiongozwa na Ahmedy Ally ambaye ni meneja wa team ya Taifa Dubai pamoja na wachezaji kutoka nchi mbali mbali ikiwemo Marekani, Spain na Tanzania na mshindi atazawadiwa Dirham 10,000/= saw na Tsh 7,000/=
Hatua hiyo ni muendelezo wa kuipeperusha vyema Bendera ya Tanzania na kufanya mchezo wa basketball kuwa pendwa, hivyo watanzania waishio nchi za uarabuni wanaalikwa kushuhudia mchezo hio..
Cc: @mixrimglobal

Hakuna maoni: