Kutana na Mtanzania Charles Karume, Maarufu kama @djpacdxb mwanzilishi wa @mixrimglobal, jumuiya ya street basketball iliyoanzishwa UAE, inayowakutanisha watu kupitia michezo ya wazi, mashindano, utamaduni na kujenga mahusiano…
Kupitia jumuiya hii ambayo inaendelea kukua zaidi ambapo ‘The End Game’ itafanyika tarehe 3 Oktoba katika Al Wasl Stadium, ikiwa na mashindano ya basketball ya U15–U18, wanawake na wanaume, katika mfumo wa 5 dhidi ya 5 (5x5), kuanzia saa 10 jioni hadi saa 3 usiku ambayo kila Mtanzania anayeishi Dubai au Jirani anakaribishwa kushuhudia makali ya gemu hizo.. S/O to @mydubaicommunities @mixrimglobal



Hakuna maoni: