VIONGOZI WAKUU ACT NA ADC WAKUTANA.

 


Viongozi wa ACT Wazalendo wakiongozwa na Kiongozi wa Chama hicho Dorothy Semu na viongozi wa ADC wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Ndugu Shaaban Itutu wamekutana Jijini Dar es salaam leo tarehe 11 Desemba 2024 kwa ajili ya kujadiliana namna ya kuimarisha mshikamano baina ya vyama hivyo.

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.