SOPHIA MWAKAGENDA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA RUNGWE MKOANI MBEYA

 

Mbunge wa Viti Maalumu Sophia Mwakagenda akionesha fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Rungwe mkoani Mbeya.


Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya, Mhe. Abdallah Mpokwa, amemkabidhi fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Rungwe mkoani mbeya, Mbunge wa viti maalumu Sophia Mwakagenda.

Katika uchaguzi wa mwaka 2020, Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Sophia Mwakagenda, aliyegombea ubunge huo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alipata zaidi ya kura 30,000.

Wagombea ubunge jimbo la Rungwe mkoani Mbeya Sophia Mwakagenda na Richard Kasesela wakisalimiana.

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.