DKT SAMIA AHIDI MIRADI YA MAJI KUONDOA KERO YA WANANCHI MTWARA




 Chagua Samia chagua Miradi ya Maji

Mgombea wa urais kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewaomba wananchi wa mkoa wa Mtwara wampatie ridhaa ya uongozi ili serikali iendelee kutekeleza mradi wa maji wa Nakonde unaotegemea chanzo cha mto Ruvuma. 

Amesisitiza kuwa utekelezaji wa mradi huu utahakikisha upatikanaji wa maji ya uhakika katika wilaya za Nanyamba na Mtwara vijijini, hatua itakayopunguza kabisa mateso ya wananchi waliokuwa wakilazimika kutembea umbali mrefu kutafuta huduma hiyo ya msingi.

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.