Kivuko cha Ijinga – Kahangala – Sh bilioni 5.20 (US$ 2.1M).
Chini ya Rais Samia, ujenzi wa Kivuko cha IJINGA – KAHANGALA katika Ziwa Victoria, Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza kimegharimu jumla ya shilingi 5.2 bilioni sawa na takriban dola za Marekani 2.08 milioni. Kivuko hiki kina uwezo wa kuvusha watu 200, magari 10 na mizigo yenye uzito wa jumla ya tani 100 kwa pamoja. Ujenzi wa kivuko hiki utarahisisha mawasiliano kati ya Kahangala na Ijinga.

Hakuna maoni: