SERIKALI YA DKT SAMIA YAKARABATI KIVUKO CHA MV MAGOGONI KWA SH BILIONI 7.5


Kivuko cha Mv Magogoni – kwa Sh bilioni 7.5 (US$ 3M).

Chini ya Rais Samia, ukarabati wa Kivuko cha MV MAGOGONI katika Bahari ya Hindi, Dar es Salaam kimegharimu jumla ya shilingi 7.5 bilioni sawa na takriban dola za Marekani 3 milioni. Kivuko hiki kina uwezo wa kuvusha watu 2,000, magari 60 madogo na mizigo kwa pamoja. Kinakadiriwa kudumu kwa miaka 30, kikihitaji ukarabati mkubwa kila baada ya miaka 3–5. Ujenzi wake utarahisisha mawasiliano kati ya Kivukoni na Magogoni.



Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.