Chini ya uongozi wa Rais Samia, Soko Kuu la Kisutu mkoani Dar es Salaam limekarabatiwa kwa kiwango cha kisasa ili kuimarisha biashara za jiji la kibiashara. Soko hili lina thamani ya USD milioni 6.0 sawa na shilingi bilioni 15.
Linauwezo wa kuhudumia watu 3,000 kwa siku, sawa na watu 1,095,000 kwa mwaka. Linajumla ya vizimba 1,000 na linaweza kuhifadhi magari 300 kwa mpigo. Soko hili ni kielelezo cha ukuaji wa uchumi wa miji mikuu chini ya Serikali ya Awamu ya Sita.
Limeajiri jumla ya wajasiriamali 2,300, ambapo ajira rasmi ni 1,000 na ajira zisizo rasmi ni 1,300, hakika Tanzania ni njema atakaye na aje.
Hakuna maoni: