DAR CITY YANG’ARA RWANDA, YAINGIA HATUA YA MTOANO KWA MARA YA KWANZA


Team ya mpira wa kikapu ya Dar City imeandika historia kwa mara ya kwanza kuwa timu ya Tanzania iliyofudhu kucheza hatua ya mtoano nchini Rwanda  

Dar City wameandika historia hiyo kwa kushinda michezo miwili licha ya kuwa wamepoteza michezo mitatu na kuwa wanne bora kati ya timu nne zinazotakiwa kufudhu kucheza hatua hiyo imeandika historia Afrika Mashariki kwa kenya na Uganda.. timu ya kwanza ukiondoa Rwanda…

Tarehe 22 mwezi tano Kigali Rwanda… tometoka kwenye hatua ya 12 bora na sasa tunaenda hatua ya 8 bora.. 

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.