TANESCO YANG’ARA TUZO ZA OSHA

TANESCO yatwaa tuzo mbili za OSHA katika kipengele cha Usimamizi Bora wa Usalama kwenye Mifumo na Uendeshaji wa Nishati hatarishi ambapo Kituo cha Kuzalisha Umeme kwa Gesi cha Ubungo II kimeshika nafasi ya kwanza katika Sekta ya Umeme, Gesi, Mvuke na Huduma za Viyoyozi huku TANESCO Iringa ikishika nafasi ya tatu, hatua inayoonesha juhudi za Shirika katika kuzingatia viwango vya juu vya usalama mahala pa kazi.


TUZO ZA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI

29 APRILI, 2026 | NJOMBE.



www.tanesco.co.tz

#TupoKazni

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.