Baada ya kutoka michezo ya kimataifa team ya mpira wa kikapu na mabingwa watetezi Dar City Basketball inacheza leo katika mchezo wa ufunguzi wa ligi ya mkoa wa Dar Es Salaam ikicheza na team ya Savio katika viwanja vya Don Bosco Upanga muda wa saa 12 Jioni.
Ikumbukwe Dar City ni mabingwa wa tetezi na wameshashinda ligi ya mkoa mara 2 mfululizo.

Hakuna maoni: