DAR CITY YAICHAPA PAZI 66

Team ya kikapu ya Dar City imeifunga team ya Kikapu ya Pazi vikapu 66 kwa 51 katika mchezo wa ligi ya mkoa wa Dar aes Salaam 

Mchezo huo ambao ulikuwa ni piga nikupige na kuipa ushindi Dar City ambayo Tayari imesha cheza michezo tisa, na kushinda mechi zote akiongoza ligi huku akifuatiwa na Pazi ambayo imekua mshindi wa pili baada ya imepoteza mchezo wa leo.

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.