Kabla ya ORIJIN kuingia rasmi sokoni, Watanzania walikuwa wakifuatilia kampeni iliyozungumzia "mitishamba" bila kufahamu bidhaa iliyokuwa nyuma ya ujumbe huo. Kampeni hiyo iliibua maswali mengi na kuwafanya watu kusubiri hatua iliyofuata.
Baada ya uzinduzi rasmi, ikabainika kuwa kampeni hiyo ilikuwa sehemu ya utambulisho wa ORIJIN. Tangu wakati huo, watu wameendelea kupata nafasi ya kuifahamu na kuionja kwa mara ya kwanza. ORIJIN imechochewa na herbs, roots na fruits za Kiafrika, huku ikileta mchanganyiko wa ladha ya uchungu na utamu unaoendelea kujadiliwa na walaji.
Bidhaa hiyo inapatikana katika ORIJIN Bitters kubwa, ORIJIN Bitters ndogo pamoja na ORIJIN Mixed (RTD), jambo linalowapa watumiaji chaguo kulingana na mahitaji yao.
Kilichoanza kama kampeni ya kuibua udadisi sasa kimegeuka kuwa gumzo linaloendelea katika maeneo mbalimbali ya burudani nchini.





Hakuna maoni: