DARAJA LA CHIGONGWE LAONDOA KERO YA USAFIRI KWA WANANCHI DODOMA Dodoma. Wananchi wa maeneo ya Chigongwe, Ngambala na Nguji kata ya Chigongwe wilayani Dodoma wameondokana na changamoto ya kukatika kwa ma... Almasi Media - Septemba 10, 2026
MWENYEKITI WA BODI TAWA, AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MAKUYUNI WILDLIFE PARK Mwenyekiti wa bodi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Meja Jenerali (Mst) Hamis Rajab Semfuko ametembelea hifadhi ya ... Almasi Media - Septemba 10, 2026
ACT WAZALENDO WAITAKA SERIKALI KUCHUKUA HATUA KUKABILIANA MADHARA YA MVUA Dar es Salaam. Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kuchukua hatua za haraka na za vitendo kukabiliana na madhara yanayoweza kusababi... Almasi Media - Septemba 10, 2026
SALOME: MHE. NDEJEMBI, TUNAOMBA UENDELEE KUWA MLEZI WA WIZARA YA NISHATI Dodoma. Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amemshukuru Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejemb... Almasi Media - Septemba 09, 2026
MAKAMU WA RAIS AAGWA RASMI NA WIZARA YA NISHATI DODOMA. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameagwa rasmi na Menejimenti ya Wizara ya Nishati pamo... Almasi Media - Septemba 09, 2026
SAPP KUFUNGUA FURSA KWA TANZANIA KUWA KITOVU CHA BIASHARA YA UMEME KUSINI MWA AFRIKA Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Mikutano ya 67 ya Jumuiya ya Umeme ya Kusini mwa Afrika (SAPP) inayofanyika Zanzibar imefungua fursa mpya kwa... Almasi Media - Septemba 09, 2026
OTR KUONGEZA KASI YA MAGEUZI ILI KUKUZA TIJA YA UWEKEZAJI Dar es Salaam. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) imejizatiti kuongeza kasi ya mageuzi ya kitaasisi na kifedha yanayolenga kukuza Mapato yasiy... Almasi Media - Septemba 09, 2026
MARUBANI WA NDEGE NYUKI MALIASILI WAPIGWA MSASA Na Sixmund Begashe, Manyoni WIZARA ya Maliasili na Utalii kupitia Mfuko wa Kuhifadhi Wanyamapori Tanzania (TWPF), inaendesha Mafunzo maalumu... Almasi Media - Septemba 09, 2026
WAZIRI KOMBO AMUAGA BALOZI WA VATICAN NCHINI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), ameishukuru Vatican kwa mchango wak... Almasi Media - Septemba 08, 2026