NONDO ASHINDA UCHAGUZ NGOME YA VIJANA ACT .

 


Ngome ya vijana hii leo imefanya mkutano mkuu wake pamoja na kufanya uchaguzi wa viongozi wakuu ngazi ya Taifa kwenye ngome hiyo ambapo Abdul nondo ameshinda na kuwa Mwenyekiti wa Vijana huku akichukua nafasi hiyo kwa mara ya pili.


Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.